Mwanzoni Vanessa Mdee alisema video ya single yake Hawajui itakuwa
hewani hivi karibuni sasa leo kupitia page yake ya Instagram V-Money
ametangaza rasmi video hiyo kwenye kituo kikubwa cha ‘MTV Base’ Des 8
Jumatatu ijayo.
Hii itakuwa ni mara ya kwanza kwa msanii huyo video yake mpya ‘Hawajui’ kuchezwa kama ‘SPANKING NEW kwenye kituo hicho.
Moja ya vigezo vinavyotumiwa sana katika TV hizi kubwa kupokea video
za Wasanii ni video yako inatakiwa kuwa bora kiasi kwamba ya 2 Chainz
ikichezwa alafu ikafuata yako kusionakane kuna utofauti wa ubora.
VANESSA MDEE KUITAMBULISHA VIDEO YA HAWAJUWI MTV BASE JUMATATU IJAYO
Imetumwa Na Unknown
Posted on 11:41 PM
with No comments
0 comments:
Post a Comment