Home » » BAADA YA KUKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA CHID BENZ LEO AMESIMAMA MAHAKAMNI KWA MARA YA KWANZA

BAADA YA KUKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA CHID BENZ LEO AMESIMAMA MAHAKAMNI KWA MARA YA KWANZA

CHID
Rapa kutoka La familia Ilala Chid Benz mchana wa October 28 amesimamishwa kizimbani katika mahakama ya hakimu mkazi Kisutu na kusomewa mashtaka yanayomkabili.
Mashtaka hayo ni matatu ambayo ni matatu ambayo
  1. Kukutwa na madawa na vifaa vya kutayarishaji uvutaji wa madawa
  2.  Kusafirisha madawa ya kulevya
  3.  Utumiaji wa madawa ya kulevya
Kwa sasa Chidi Benz amerudishwa rumande hadi Novemba 11ambapo kesi yake itatajwa tena,kuhusu dhamana itakuwa wazi kwa masharti ya kuwa na wadhamini wawili wanaoeleweka na jumla ya pesa taslim million 1.

0 comments:

Post a Comment

TANGAZA NASI | 0783 561 514

 
Idrisa Bandali Available On : Facebook | Instagram | Twitter
Copyright © 2013. BANDALI 44 -Haki Zote Zimehifadhiwa
Blog Hii Imetengenezwa Na Ernest James Siwigo Inamilikiwa Na Idrisa Bandali
2brothers Inc 0719766915 | 0764214303