Home » » UNAKIJUA KILICHOAGIZWA NA KAMATI YA PAC KWA CAG? SOMA HAPA

UNAKIJUA KILICHOAGIZWA NA KAMATI YA PAC KWA CAG? SOMA HAPA

Taarifa zilizotufikia hivi punde zimesema Kamati Ya Hesabu za Serikali (PAC) Tanzania imeagiza ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) pamoja na Benki Kuu ya Tanzania (BOT) kufanya ukaguzi wa mchakato wa ubinafsishaji wa iliyokuwa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC).
Taarifa hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Serikali Zitto Kabwe, kupitia ukurasa wake wa Instagram (@zittokabwe) dakika chache baada ya kumalizika kwa kikao alichokifanya na waandishi wa habari Dar es Salaam leo.
 Zitto IIZitto I

0 comments:

Post a Comment

TANGAZA NASI | 0783 561 514

 
Idrisa Bandali Available On : Facebook | Instagram | Twitter
Copyright © 2013. BANDALI 44 -Haki Zote Zimehifadhiwa
Blog Hii Imetengenezwa Na Ernest James Siwigo Inamilikiwa Na Idrisa Bandali
2brothers Inc 0719766915 | 0764214303