
MWENYEKITI wa Klabu ya waandishi wa habari wa mkoa wa Mtwara Hassan
Simba akipokea jezi na mpira kutoka kwa katibu wa Mbunge wa Mtwara mjini
Mc donald Milanzi kwaajili ya mpambano
kati ya wanahabari wa Mtwara na Jukwaa la wahariri itakayochezwa
jumamosi katika uwanja wa chuo cha ualimu mjini Mtwara.


0 comments:
Post a Comment