Home »
Habari
» PICHA 21 ZA MAADHIMISHO YA JUMA LA ELIM KWA HALMASHAURI YA WILAYA MTWARA VIJIJINI ZIKO HAPA
 |
Mkuu wa Mka wa Mtwara Kanali Mstaafu Joseph Simbakalia akizungumza na wananchi |
 |
Waziri wa Nchi ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mtaa Mhe. Hawa Ghasia akizungumza na wananchi hawapo pichani kwenye wiki ya Juma la Elimu Shule ya Msingi Nanyamba |
 |
Hazzam Nambunga Mwalimu Mkuu Shule ya Msingi Mkubiru, Shule yake imekua na kwanza kwenye matokeo ya darasa la saba kimkoa wa Mtwara Mwaka huu |
0 comments:
Post a Comment