Home » » NICKI MINAJ NA NDOTO ZA KUFUNGA NDOA NA DRAKE

NICKI MINAJ NA NDOTO ZA KUFUNGA NDOA NA DRAKE

minaj







 Nicki Minaj amejibu swali hili kwa uhakika kabisa bila wasiwasi wowote na kuwa gumzo tena.Minaj akiwa anafanya interview na magazine ya I-D moja ya majibu yake yana make headline hivi sasa kwenye internet.
Jibu hilo ni kuhusu mwanaume bora zaidi na kwa haraka Nicki alisema siku moja ataondoka na Drake wakafunge ndoa kwasababu huyo ndiyo mwanaume bora kwake. Baada ya story hii kuanza ku-make headlines Drake na yeye akaanza ku-post picha za Nicki Minaj kwenye instagram yake.
Hii si mara ya kwanza kwa wawili hawa kuchukua attention ya watu, mwaka 2010 waliwahi kutengeneza fake marriage kwenye mtandao wa twitter na kuwa gumzo kubwa
 minaj2

0 comments:

Post a Comment

TANGAZA NASI | 0783 561 514

 
Idrisa Bandali Available On : Facebook | Instagram | Twitter
Copyright © 2013. BANDALI 44 -Haki Zote Zimehifadhiwa
Blog Hii Imetengenezwa Na Ernest James Siwigo Inamilikiwa Na Idrisa Bandali
2brothers Inc 0719766915 | 0764214303