Mashabiki wa Timu ya Simba wakijikusanya nje ya jengo la klabu hiyo
kongwe kupinga Wambura kuondolewa kwenye uchaguzi unakuja hivi karibuni
Hapa mashabiki wakizidi kujikusanya kwa wingi mchana huu
Wanachama
wa simba wakiwa wamelizunguka Jengo la klabu yao mchana huu kupinga
kuondolewa kwa wambura kwenye uchaguzi wa klabu hiyo
Wanachama
wa Simba wakipiga kelele nje ya jengo la klabu yao hiyo wakitaka wapewe
ufafanuzi wa kina kwanini Wambura ametolewa kwenye uchaguzi unaokuja
Mmoja wa wanachama wa Simba akiongea na mamia ya wanachama nje ya jengo
la klabu hiyo kutaka wambura arejeshwe mara moja kwenye orodha ya
wagombea
Hapo mmoja ya wanachama waliojikusnya akiwatuliza wanachama wenzake ili waweze kupatamaelezo
Polisi
wakiwa wamefika eneo la klabu ya Simba ili kuimarisha ulinzi na
kuwataka wanachama wa Simba kutulia ili wapate majibu kwa kamati ya
uchaguzi
Mamia ya wanachama wa Simba wakiwa nje ya jengo la simba mchan huu
0 comments:
Post a Comment