Home » » ALICHOANDIKA AFISA HABARI WA NDANDA KUHUSUIANA NA WALE WANAOUZA JEZI ZA NDANDA KINYUME CHA SHERIA KIPO HAPA

ALICHOANDIKA AFISA HABARI WA NDANDA KUHUSUIANA NA WALE WANAOUZA JEZI ZA NDANDA KINYUME CHA SHERIA KIPO HAPA

Afisa habari za ndanda Idrisa bandali
....Kwa yoyote anayeuza jezi za ndanda fc kwa sasa ni muhujumu uchumi wa timu ya ndanda, uongozi wa ndanda upo kwenye operesheni maalumu ya kuwakamata wale wote wanaohujumu timu yetu...nawaomba mashabiki wa ndanda na wapenzi wa timu yetu kutonunua jezi hizo mpaka pale uongozi utakapotoa maelezo rasmi ya wapi jezi zetu zitapatikana.....

0 comments:

Post a Comment

TANGAZA NASI | 0783 561 514

 
Idrisa Bandali Available On : Facebook | Instagram | Twitter
Copyright © 2013. BANDALI 44 -Haki Zote Zimehifadhiwa
Blog Hii Imetengenezwa Na Ernest James Siwigo Inamilikiwa Na Idrisa Bandali
2brothers Inc 0719766915 | 0764214303