Baada ya kutolewa orodha ya magoli kumi bora ambayo yaliingia kuwania tuzo ya goli bora la mwaka tuzo za Puskas.Majina matatu yamefanikiwa kuingia katika mchuano wa kuwania goli bora la mwaka.
Mchezaji wa kimatifa wa timu ya wanawake ya Poland Stephanie Roche,James Rodriguez kutoka Colombia na Robin Van Persie wa Uholanzi wametajwa kuwania tuzo hiyo siku ya jana.Tuzo za Puskas zilianzishwa october 20 mwaka 20 na zimepewa heshima kwa mchezaji hatari wa kalabu ya Real Madrid miaka ya 1950 na 1960 ferenc Puskas.
stephanie roche
KIVUTIO CHA ROCHE KUINGIA KATIKA TUZO ZA PUSKAS 2014
stepanie roche akishangilia goli
WASHINDI WA PUSKAS TANGU 2009
C .Ronaldo 2009.
Hamit Altintop 2010
Neymar Jr 2011
Miroslav Stoch 2012
Zlatan Ibramovic 2013
stepanie roche akifunga goli
0 comments:
Post a Comment