Home » » UMEIONA NGUO ATAKAYOIVAA DIAMOND KWENYE RED CARPET YA BET? IKO HAPA IANGALIE NA ALICHOSEMA DIAMOND KWA ALIYETENGENEZA NGUO HIYO

UMEIONA NGUO ATAKAYOIVAA DIAMOND KWENYE RED CARPET YA BET? IKO HAPA IANGALIE NA ALICHOSEMA DIAMOND KWA ALIYETENGENEZA NGUO HIYO

dimond

BET Awards zinakaribia kufanyika na Diamond Platinumz anaelekea huko kwasababu amekuwa nominated kwenye kipengele cha Best African Act. Diamond atapita kwenye red carpet itakayo tumiwa na wasanii mbalimbali siku ya tukio.

Hii ni sehemu ya nguo ambayo atavaa siku ya tukio na imetengenezwa na Sheria Ngowi, sehemu moja imeandikwa Mr Diamond Platnumz. Haya ni maneno aliyoandika alipo-share hii picha.

dimo3

0 comments:

Post a Comment

TANGAZA NASI | 0783 561 514

 
Idrisa Bandali Available On : Facebook | Instagram | Twitter
Copyright © 2013. BANDALI 44 -Haki Zote Zimehifadhiwa
Blog Hii Imetengenezwa Na Ernest James Siwigo Inamilikiwa Na Idrisa Bandali
2brothers Inc 0719766915 | 0764214303