Home » » COUTINHO NDANI YA DAR, SASA YANGA MAMBO BOMBA!

COUTINHO NDANI YA DAR, SASA YANGA MAMBO BOMBA!

10_numara_brezilyada_bulundu_h2705

BAADA ya kocha mpya wa klabu ya Yanga, Mbrazil, Marcio Maximo kuwasili jana nchini pamoja na msaidizi wake Leonadro Martins Neiva , mchana wa leo kiungo mshambuliaji Andrey Macrcel Ferreira Coutinho tayari yupo ndani ya Dar.
Coutinho amewasili mchana wa leo kwa shirika la Ndege la Afrka Kusini tayari kwa ajili ya kujiunga na kikosi cha Young Africans kwenye maandalizi ya msimu mpya wa 2014/2015 - See more at: http://shaffihdauda.com/?p=2704#sthash.teV9K5no.dpuf

 Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Andrey Ferreira Coutinho raia wa Brazil, ametua salama jijini Dar es Salaam.

Coutinho alikuwa atue jana akiwa na Kocha Marcio maximo na msaidizi wake, lakini akakwama jijini Rio de Janeiro, Brazil.

Lakini leo ametua salama na kupokewa na Ofisa Habari wa Yanga, Baraka Kizuguto.

Coutinho ataungana na Maxim oleo na Jumatatu wote wanaweza kuanza kazi.

0 comments:

Post a Comment

TANGAZA NASI | 0783 561 514

Idrisa Bandali Available On : Facebook | Instagram | Twitter
Copyright © 2013. BANDALI 44 -Haki Zote Zimehifadhiwa
Blog Hii Imetengenezwa Na Ernest James Siwigo Inamilikiwa Na Idrisa Bandali
2brothers Inc 0719766915 | 0764214303