Home » » Alichoandika Lulu kuhusu Kanumba

Alichoandika Lulu kuhusu Kanumba

 
Lulu


Leo (April 7) aliyekuwa muigizaji wa Bongo movie marehemu Steven Kanumbaanatimiza miaka miwili tangu afariki dunia. Aliyekuwa mpenzi wake Elizabeth Michael aka Lulu ameandika ujumbe wa kumkumbuka marehemu Kanumba.

Hiki ndicho alichokiandika kupitia akaunti yake ya Instagram

*Bado siamini Kama mwaka wa pili unakatika bila kukuona wala kukusikia baba…!Ninaamini bdo tupo wote kiroho na Ninaamini zaidi nafsi yako huko ilipo inasimama kunitetea na kunipigania,inaweza kunichukua miaka na miaka kukuelezea….u still liv in me daddy and your dearly missed….R.I.P daddy angu*


0 comments:

Post a Comment

TANGAZA NASI | 0783 561 514

 
Idrisa Bandali Available On : Facebook | Instagram | Twitter
Copyright © 2013. BANDALI 44 -Haki Zote Zimehifadhiwa
Blog Hii Imetengenezwa Na Ernest James Siwigo Inamilikiwa Na Idrisa Bandali
2brothers Inc 0719766915 | 0764214303