Home » » PICHA 6 ZA AJALI YA BASI LEO ASUBUHI KAHAMA SHINYANGA

PICHA 6 ZA AJALI YA BASI LEO ASUBUHI KAHAMA SHINYANGA

Screen Shot 2014-11-12 at 11.54.44 AM 
Ni Basi la Wibonela Express linalofanya safari zake kati ya Kahama – Dar ambalo lilipinduka baada ya kutoka stand kuu ya kahama kilometa chache toka stand hiyo kwenye eneo la Phantom ambapo taarifa kutoka Polisi zinasema waliofariki ni watu wanne.

Taarifa za awali zinasema chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi.
 
Screen Shot 2014-11-12 at 11.54.36 AM

Screen Shot 2014-11-12 at 11.18.07 AM

Screen Shot 2014-11-12 at 11.17.42 AM

Screen Shot 2014-11-12 at 11.17.35 AM

Screen Shot 2014-11-12 at 11.54.52 AM

0 comments:

Post a Comment

TANGAZA NASI | 0783 561 514

 
Idrisa Bandali Available On : Facebook | Instagram | Twitter
Copyright © 2013. BANDALI 44 -Haki Zote Zimehifadhiwa
Blog Hii Imetengenezwa Na Ernest James Siwigo Inamilikiwa Na Idrisa Bandali
2brothers Inc 0719766915 | 0764214303