Hapa ni ujenzi wa barabara ya kutoka TANESCO kuelekea YATIMA yenye
urefu wa kilometa 1.4 pamoja na daraja katika eneo la Lunda ambalo
lilikuwa ni daraja sugu kutokana na kubomoka mara kwa mara unaojengwa
na kampuni ya DEELQOM TZ LIMITED ya Masasi inayomilikiwa na Apwanga Juma
Apwanga kwa thamani ya shilingi milioni 48.


0 comments:
Post a Comment