Aisha Iddi mkazi wa Ilala Dar es
salaam amefanya exclusive interview na Bandali 44 kuhusu kipigo alichopokea kutoka
kwa Msanii Chid Benz na sababu ya kupigwa hivyo.
Aisha anasema” Chid nafahamiana naye
kama mshkaji tu na nilimsalimia akiwa na mwanamke, nadhani hakufurahishwa na
kitendo hicho , akachukia na kuanza kunipiga, kwanza alianza kurusha meza
kwenye bar tuliyokuweko ya Ngudu Bar iliyopo ilala”
Aisha anaendelea kusema” Chid
amemchana vibaya mdomoni mpaka kusababisha kushonwa nyuzi 13 mdomoni. pia
amenivuta rasta kichwani mpaka ikatoka, Niko kwenye hali mbaya sana nikiachawa
mwenyewe nazimia ”
Kwa sasa
kesi ipo mahakamani baada ya Chid kukamatwa kupitia Rb – ILA| RB | 1569| 2014
Kituo cha polisi cha Pangani Ilala.
0 comments:
Post a Comment